Rudi shule
Usishindane na mwenye hela, hujawahi kuona mkubwa anachapwa bakora, mfano ndugai alimchapa bakora ccm mwenzake nusu ya kumuuaHivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo?
Ili tuchangie njoo na taarifa kamili usiwe mvivu wa kuandikaHivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo?