Basic Technician Certificate in Journalism and Media Studies yahusu mambo gani?

GONZZ EPACLEM

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
312
239
Thread yajieleza hapo juu wana JF, hivyo kwa mwenye ufahamuna kozi hii tujuzane

Inahusiana na idara ipi kwa wanahabari?

Vipi ajira zake ? zinapatikana kirahisi katika industry ya habari?

Hasa kwa waliosoma SAUT, naombeni msaada wenu na experience yenu utaftaji ajira;

Nawasilisha kwenu mada, ASANTENI
 
Ni uandishi wa habari kwa ujumra wake ni kozi rahisi lakini kwenye ajira ni ngumu kama huna kipaji binafsi cha uandishi au kutangaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom