heloooo
habari za mihangaiko wajameni,leo nataka tu tuwekane sawa kuhusu jambo moja ambalo limekua likiyumbisha mahusiano ya watu wengi na wakati mwingine kupelekea usaliti ama kuvunjika kwa mahusiano/ndoa.
jambo lenyewe ni EX-GIRLFRIEND/BOYFRIEND/LOVER.
Imekua ni kawaida baada ya watu kuachana wanaanza mahusiano mapya,sasa tatizo linakuja pale mtu anapoanza mahusiano mapya lakini bado anaendeleza mawasiliano na mpenzi wa zamani na wengine mpaka wanaingia katika ndoa bado anawasiliana na mpenzi wa zamani.
that is a big mistake ever. if you quit somewhere just quit completely never look back,destroy all the memories includes phone numbers and all that especialy kama upo kwenye mahusiano mengine mapya au upo kwenye ndoa. doing so itasaidia kulinda mahusiano yako.
umeachana na mtu unachat nae WHAT DOY TALK ABOUT ANYWAY,about the past?those moments you use to spent together?and whats the results of that kind of chat? kukumbushana?that sounds nonsense
if you quit just quit completely.unapoendeleza mawasiliano utaendeleza na wangapi?kama umeachana na wapenzi kumi wote uanendelea kuwasiliana nao?then what?