Mabasi mazuri ya Dar - Kahama ni Dar Lux ama New Force. Yote nauli ni 40 elfu.
Hayo mengine yote hayafai kabisa aiseeeeeee.......
Pia toka kahama - kibondo, kuna Casablanca bus tu ambalo linakwenda direct.
Pia ukifika kahama kawaida itakua mishale ya saa tano na nusu - saa sita. Unaweza ukawahi kuamka asubuhi na kisha ukapanda Gari za kwenda Ngara/Benaco, kisha ukashukia Nyakanazi. Pale nyakanazi kuna magari mengi ya kwenda Kibondo, ingawa ni njia mbaya na vumbi kwa wingi lakini sio mbali sana