Basi sina ujanja tena

Angalia alternative yake chini hapo. . Anaweza akawa kamaliza 2009 BT diploma level akawa kamaliza kati ya 2014_2016 kama wanavosema
Nadhani hujasoma vizuri hicho kipengele nilichokiweka... hakina exeption hiko.
 
πŸ™‚ Kama yupo SUA anaweza pangiwa batch za lala salama.......asee mie boom la mwaka wa kwanza ndiyo nimeingiziwa zote mwaka wa pili😑
Kama yupo course ya priority hapa SUA mkopo lazima hapate lakini anaweza pangiwa batch za lala salamaπŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…