Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
lakini tukiangalia huna sifa ya kupewa mkopo,mwaka uliomaliza form 4 umekutoa kwenye sifa! usilalamike sana!The student with Index number 'S1359.0057.2009' was not allocated a higher education loan for AY 2016/17 in the first Batch
FINAL LIST IMESHATOLEWA MAJINA 600 TU KWA SAUT.
RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
NITUMAINI LA WANYONGE, LAKINI SI TUMAINI LA MASKINI.
Napendag sana majb yako mkuu japo huw wanakupondakama unaijua mathematics njoo tupige kazi huku ...utatoka tu kibishi
Mwaka sio kigezo wapo waliomaliza 2008 wamepatalakini tukiangalia huna sifa ya kupewa mkopo,mwaka uliomaliza form 4 umekutoa kwenye sifa! usilalamike sana!
Mbona kuna watu wamemaliza 2000 nawamepatalakini tukiangalia huna sifa ya kupewa mkopo,mwaka uliomaliza form 4 umekutoa kwenye sifa! usilalamike sana!
weka mfanoMbona kuna watu wamemaliza 2000 nawamepata
sio wapo wamepata ,weka mfanoMwaka sio kigezo wapo waliomaliza 2008 wamepata
Angalia majina ya udom mkuusio wapo wamepata ,weka mfano
kasome upya guidelines za bodi uone,ukikuta mtu kapewa mkopo miaka ya nyuma kwanza unaweza ukakuta ni 5 kati ya 5000,then unaweza ukakuta ni yatima,au disabled(vilema).Angalia majina ya udom mkuu
Yawezekana but we are not 100% surekasome upya guidelines za bodi uone,ukikuta mtu kapewa mkopo miaka ya nyuma kwanza unaweza ukakuta ni 5 kati ya 5000,then unaweza ukakuta ni yatima,au disabled(vilema).
Unataka mfanoweka mfano
kasome upya guidelines za bodi uone,ukikuta mtu kapewa mkopo miaka ya nyuma kwanza unaweza ukakuta ni 5 kati ya 5000,then unaweza ukakuta ni yatima,au disabled(vilema).
umechaguliwa kozi ganiMe nimemaliza form4 2011 nina vigezo vingine vya kupata mkopo ila sio yatima nimekosa ikanifanya nilifanyie utafiti
na wewe angalia kigezo cha mwaka,je aliemaliza mwaka 2000,na kachaguliwa arts ana sifa?View attachment 426487 Pitia hayo maneno juu ya 2.2.2.2 mkuu.