shambagirl
Member
- Sep 17, 2014
- 24
- 1
Lina huduma zipi ndani? Mfano AC, vinywaji au zipi?[ kama una mtu wako kuna chumba cha kusuguana
Mh!! We chinembe mambo gani tena hayo? Niko serious kuna rafiki yangu mgerman hapatani na joto kabisa thats why nauliza kama lina AC
Ni ME kama mimi
atoke germany koooote huko ashindwe nauli ya fastjet,kwa taarifa yako hakuna basi lenye AC,labda afungue dirisha,huyo rafiki yako ni KE kwa jinsia?
Mh!! We chinembe mambo gani tena hayo? Niko serious kuna rafiki yangu mgerman hapatani na joto kabisa thats why nauliza kama lina AC
Wengine kusafiri na bus ni adventure! Unaona vingi kuliko kusafiri na ndege.