Upungufu wa akili is real, umasikini pia unachangia mtu kuwa na roho ngumu, hapo anashabikia sjui kafurahia katarama atafilisika, au nia ni madhumuni ni nini! Kwa ujinga huo yuko radhi arekodi mtu akikata roho kuliko aweke simu asaidie majeruhi, hao ndo wale wanamalizia majeruhi kwa kuwanyonga ili wawasearch vizuri kwenye suruali na mikoba yao wakijifanya mashuhuda na waokoaji! Nasemaje MAJALIWA atabaki kuwa mmoja tu hapa TanzaniaJamaa anavyotangaza mbona kishabiki sana utadhani anatangaza mechi wakati kuna uhai wa watu. Hii nchi ina ujinga mwingi sana
Aangalie alikopotelea SauliJana nilileta uzi hapa kuhusu huyu bwana aachane na ligi baada ya siku nne nyuma gari lake moja kupata ajali mbaya Moro, juzi tu nikashauri arudi njia kuu madereva watamfilisi ila nikaonekana mchonganishi
Muda huu leo gari lingine limedondoka Mikese sasa hivi
--------------------
Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa basi la Kampuni ya Mabasi ya Katarama, limepata ajali mchana wa leo, Aprili 25, 2026 katika eneo la Mikese mkoani Morogoro.
Chanzo: Global TV
Kwakuwa mimi si mtu wa Kanda ya Ziwa, sipandi hizo gari za kukimbia kama SGR. Uishi miaka mingi pia, Amen iwe hivyo hata tukionana mwaka 2050Chica Gee bila shaka haupandi gari zinazo kimbiza watu kama mizigo isiyo na uhai.
Uishi miaka mingi ndugu yangu hadi tuonane mwaka wowote ule tukiwa na mvi kichwani.
Ndio JF ya leo hii, that's why kuna mada za kulaani hawa walioifikisha JF hapaJamaa anavyotangaza mbona kishabiki sana utadhani anatangaza mechi wakati kuna uhai wa watu. Hii nchi ina ujinga mwingi sana
Punguza ujuaji bila iyo ligi izo bus mpaka leo angekua anapakia mkaa na kwenye game angeshakimbia kitamboJana nilileta uzi hapa kuhusu huyu bwana aachane na ligi baada ya siku nne nyuma gari lake moja kupata ajali mbaya Morogoro, juzi tu nikashauri arudi njia kuu madereva watamfilisi ila nikaonekana mchonganishi
Muda huu leo gari lingine limedondoka Mikese sasa hivi
--------------------
Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa basi la Kampuni ya Mabasi ya Katarama, limepata ajali mchana wa leo, Aprili 25, 2026 katika eneo la Mikese mkoani Morogoro.
Chanzo: Global TV