NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Hujui kuwa hicho "kinyes' " ni najisi ? !! hivyo mle ndani mtakuwa mkisafiri na invisible pippo ( 3audh bilalay mina shwetwni rajiim) pindi mkiteremka mtafuatana nao hadi last destination !! Aaa mie simo....nsidhurike !!
Mpendwa DersonIV, Kwa heshima..nikujuze ukihesabu idadi ya wagonjwa wa jiji Zima walo hospitali, Basi kuna idadi 50% ya wagonjwa wa madhara ya upepo na walokumbwa na (devil eyes/excostions/Jin/shetwan) wapo majumbani kwani hawakupata tiba muwafaka Mahospitali !! Wapo wengi wanatapatapa bila msaada maalum !! pls. ASK ..tena uliza hata majirani hapo uishiapo!! Naomba Mungu awasaidie na awape uzima!! Mkuu sii utani.... fanya uchunguzi..ili utoe mchango wako wa kusaidi jamii.Hii imani yako imeniacha hoi... duh!!
Kinyesi, wanapata methane gas, gas inatumika kudrive the engine, unasema najisi? mara kusafiri na invisible ppo! tell me ulikua unatani?
Mpendwa DersonIV, Kwa heshima..nikujuze ukihesabu idadi ya wagonjwa wa jiji Zima walo hospitali, Basi kuna idadi 50% ya wagonjwa wa madhara ya upepo na walokumbwa na (devil eyes/excostions/Jin/shetwan) wapo majumbani kwani hawakupata tiba muwafaka Mahospitali !! Wapo wengi wanatapatapa bila msaada maalum !! pls. ASK ..tena uliza hata majirani hapo uishiapo!! Naomba Mungu awasaidie na awape uzima!! Mkuu sii utani.... fanya uchunguzi..ili utoe mchango wako wa kusaidi jamii.
Indeed, nimekupata....50%umeweka assumption mbali sana, afu hiyo haina uhusiano wowote na hili bus wala process ya kupata biogas, usidhani watakaa kwenye bus na kujisaidia hapana! wanafanya extraction kutoka kwenye system ya maji taka, mfano mtu anapoflash choo, ule uchafu unaenda kwenye system, mamlaka husika wanajua vizuri precaution za kuchukua maana wana handle uchafu.. nothing more nothing less, mengine propaganda zisizo na proof
Waoh,hayo ndio maendeleo sasa mbona madirisha kama hakuna inamaana abiria wanendelea kurefuel by adding poop kwenye engine?
Hujui kuwa hicho "kinyes' " ni najisi ? !! hivyo mle ndani mtakuwa mkisafiri na invisible pippo ( 3audh bilalay mina shwetwni rajiim) pindi mkiteremka mtafuatana nao hadi last destination !! Aaa mie simo....nsidhurike !!