Kuna wadau wako eneo la tukio wanasema basi la kampuni ya Zakaria lilikuwa linatokea Mwanza kwenda MUsoma limechinja na kuua watu na majeruhi kibao baada ya kugongana na mchomoko (Noah).
Kuna wadau wako eneo la tukio wanasema basi la kampuni ya Zakaria lilikuwa linatokea Mwanza kwenda MUsoma limechinja na kuua watu na majeruhi kibao baada ya kugongana na mchomoko (Noah).
Ni kwamba inasemekana mchomoko ndio yenye makosa coz ililifuata basi kubwa, hapohapo Zacharia ikaipandilia ile mchomoko,
mchomoko ilikuwa na jumla ya watu 9, na 8 kati yao wamekufa na aliye baki ni Dreva tu nae hajitambui yuko mahututi BUGANDO,
Yani habari kama hizi zinafikia hatua unataka uishie kwenye tittle tu na hivi nipo safarini,
wapumzike kwa amani wote waliotangulia na majeruhi wapatiwe msaada wa haraka iwezekanavyo kunusuru uhai wao uliowekwa rehani na madereva wazembe.
Kwa nini serikali haipigi marufuku noah kubeba abiria?yaani hizo noah ni hatari sana zinakimbia sana wakati hizina balance,R.I.P marehemu wasio na hatia.
Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amewashika polisi wote kanda yaziwa. Huyu ni tajiri Chacha Zakaria, mwaka 2005 aligombea udiwani akapigwa chini na kijana mdogo toka chuo cha SAUT.
hivi TBS pamoja na hii wizara ya uchukuzi kwanini wanaruhusu hivi vikopo vya castle kubeba abiria?ni nani anaetoa leseni kwa hizi noah kubeba abiria?yaani zinavyokuja kwa kasi nadhani zitapita hata toyo kwa ajali.waliotutoka RIP
Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amewashika polisi wote kanda yaziwa. Huyu ni tajiri Chacha Zakaria, mwaka 2005 aligombea udiwani akapigwa chini na kijana mdogo toka chuo cha SAUT.
noah ndo mwenye makosa,alipiga u turn ya ghafla akidhani ataiwahi lakini wakakutana uso kwa uso na zakaria.watu watano wote waliokuwepo kwenye noah wamefariki