Waganda wamekuja na basi linalotumia nguvu za ''umeme wa jua'' (solar) kusafiri. Linatumia dakika sitini kuweza kujaa chaji na likisha jaa lina uwezo wa kutembea maili 50 bila kuchajiwa tena. Vilevile kuna battery ya ziada ya kuchaji kwa umeme wa kawaida kwa ajili ya safari za usiku na za zaidi ya maili 50 ambazo solar haiwezi kutosheleza huo umbali.
Wanaweza wakafanikisha kikubwa walijaribu na mizigo kwanza katika bara bara zenye milima kama sekenke lisije likifika huko ikawa shida na wao majaribio yao ni tambalale likaleta balaa..inanikumbusha treni ya makaa ya mawe ya kwanza kutoka Manchester ilipofika kituoni ilikua shida kusimama maana ili iende ni kuchochea makaa ya mawe brake sasa ilikua tatizo ilileta madhara makubwa..