Mkuu smart phone walikomba zote, unadhani wataanzia wapi kupost.Jana usiku hadi Leo hakuna taarifa ya uhakika bado tetesi?
Mabasi yalikatazwa kusafiri usikuKuna taarifa kuwa Basi laTabora One lifanyalo safari zake kati ya Dar na Tabora limetekwa Jana usiku na abiria wote kunyang'anywa mali zao na kuna taarifa kuwa huenda wanawake wamefanyiwa vitendo vya ubakaji.
Nimekuelewa kidogoMkuu smart phone walikomba zote, unadhani wataanzia wapi kupost.
Wapigane tu, Mungu atawatetea. Kama ni njama za kuwashusha kibiashara Mungu atawainua tu maana yeye ndio mtoa riziki kwa wote.Mbaya sana kama ujambazi huo umerejea.Duu Tabora One anapigwa vita sana njia hiyo ya tabora na mmiliki mkongwe wa njia hiyo,pia mmiliki wa tabora one alifariki miezi michache iliyopita basi ni balaa tupu.Waliobaki wasikate tamaa
Iko bize kutafuta ni lini na wapi CHASO watakuwa na mahafali wakawapige pini.intelijensia vipi huko? au geshi ra porish halipo?
HahahahahahaUkitaka askari wafike haraka eneo la tukio,wapigie kuwa UKAWA wanataka kuandamana.
Tabora ndiyo mkongwe si kweli hilo basi ni jipya kwa njia hiyoMbaya sana kama ujambazi huo umerejea.Duu Tabora One anapigwa vita sana njia hiyo ya tabora na mmiliki mkongwe wa njia hiyo,pia mmiliki wa tabora one alifariki miezi michache iliyopita basi ni balaa tupu.Waliobaki wasikate tamaa