Basi la shule

Tofauti tuu ya lugha wenye lugha hiyo wanajua maana yake. Huenda ni kikikuyu au kikamba . Lugha za watu usitafsiri kwa maana yako usiwe ethnocentric.
 
Research muhimu before coming up with a brand name..
 
Yaani hii picha imezunguka sana mitandaoni
 
Singida kuna shule ya sekondari yaitwa SENGE...
Chunya kuna shule ya msingi yaitwa SHOGA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…