Basi la ota linalofanya safari zake kutoka bukoba kwenda dsm limepata ajali baada ya kuyagonga magari yaliyokuwa yamesimama barabarani baada pia ya kupata ajali maeneo ya dakawa na kuna habari kuwa abiria 5 kupoteza maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.