picha??
Tulikuwa tukitokea Arusha tulipofika maeneo ya mto Ruvu mvua ilianza kunyesha kubwa na dereva akiwa speed ghafla ikatokea basi la Muro likiwa liko upande wetu.Tukataka kugongana uso kwa uso na kilichofanyika dereva alilikwepa kwa kutoa Gari nje kwa upande wa kushoto.
Baada ya Muro kupita dereva wa Machame akarudisha basi upande wa kulia ndipo ilipomshinda na kuitoa nje na kujikita kwenye kimuinuko na kuharibika show ya mbele yote ila mwendo kasi kwa basi letu ndiyo chanzo.
Mura chacha kana niyekhi ukumburya iruswali keriyo? Ngutebhiri ni ibhasi hiyo.Una uhakika lilikuwa Basi la Muro? Maana hadi mtoke Arusha na mfike Ruvu mabasi yote ya Muro yanakuwa yamepita Ruvu kwa sababu yote yanaenda safari za mbali na hivyo huondoka asubuhi ya saa 12 kamili Ubungo. Anyway labda kama lilikuwa linaenda kufaulisha gari nyingine iliyoondoka asubuhi Ubungo..
Poleni sana! Wamachame ni noma mpaka wana mabasi yao....
Tulikuwa tukitokea Arusha tulipofika maeneo ya mto Ruvu mvua ilianza kunyesha kubwa na dereva akiwa speed ghafla ikatokea basi la Muro likiwa liko upande wetu.Tukataka kugongana uso kwa uso na kilichofanyika dereva alilikwepa kwa kutoa Gari nje kwa upande wa kushoto.
Baada ya Muro kupita dereva wa Machame akarudisha basi upande wa kulia ndipo ilipomshinda na kuitoa nje na kujikita kwenye kimuinuko na kuharibika show ya mbele yote ila mwendo kasi kwa basi letu ndiyo chanzo.
Mkuu ulikuwa ukiponda kampuni hii kumbe bado unatumia Huduma zao.