Basi la Kilimanjaro Express

LIM Safaris na IBRA Line ndio gari zangu siku hizi...! Hizo Dar Express na K'njaro hola tu saivi..!

Nilipanda LIM siku moja nilijuta.........viti ka basi la chekechea.........halafu dereva alikuwa kama ana maruhani........maana hizo mbio......
hivi RATCO hawapo route hiyo..............?........niliwapenda sana..........
 
Itabidi tuwe tunaijaribu kwanza maana ni hatari, kwa mfano hapo ingekuwa ni moto umewaka ingebidi usubiri moto uzimike, au?
 
Nilipanda LIM siku moja nilijuta.........viti ka basi la chekechea.........halafu dereva alikuwa kama ana maruhani........maana hizo mbio......
hivi RATCO hawapo route hiyo..............?........niliwapenda sana..........

RATCO ni Tanga-Dar. Sidhani kama wana routes za Dar -AR.
Karibu IBRA line mrembo. Ni very comfortable. Au weye siku hizi Ni mwendobwa FJ??
 
Ujifunze kutembea na visu vya mfukoni, ikitokea kama hiyo wala humwambii muhudumu unajihudumia mwenyewe kisha una sepa

ikitokea la kutokea tofaufi na ajali na akakutwa nacho ataonekana alikuwa na nia ovu.. kisu/silaha kwenye bus.. inawezuleta tafrani..
 
Nilipanda LIM siku moja nilijuta.........viti ka basi la chekechea.........halafu dereva alikuwa kama ana maruhani........maana hizo mbio......
hivi RATCO hawapo route hiyo..............?........niliwapenda sana..........

Hivi shabiby na Bm hawana route za dar Arusha?maana naona ndio watakua wakombozi wapya
 
Hii biashara ya mabasi ya mikoani nadhani huwa haina faida in the long run. Maana nimeshaona makampuni mengi sana huwa yanaanza kwa mbwembwe lakini baada ya miaka michache yanaanza kusua sua na mwisho kufa kabisa.
 
Kwa nini hukuwaambia trafic wakati wanakagua ndani? Usalama ni jukumu letu sote sio trafic tu

Bado sheria na kanuni zetu za usalama barabarani hazilazimishi abiria kufunga mikanda....
 
Hii biashara ya mabasi ya mikoani nadhani huwa haina faida in the long run. Maana nimeshaona makampuni mengi sana huwa yanaanza kwa mbwembwe lakini baada ya miaka michache yanaanza kusua sua na mwisho kufa kabisa.
Mkuu umeongea jambo la maana sana hawa jamaa hawana busness codinetors ambao kazi yao kubwa huwa n kuangalia soko la usafir na mahitaji ya wa teja wao. Mfn mdogo green * mombasa raha hata mhamedi. Wametoka barabaran na wengine wapo kwa kusuasua kwa sabab hyo ,

Isitoshe mabasi huduma huwa nzr wakizoea wanaanza kuwa na lugha chafu sana, hvyo nmhim wabadilike vinginevo hakuna basi itakayodum bila kuwa na huyo nliemtaja hapo juu.
 
Hii biashara ya mabasi ya mikoani nadhani huwa haina faida in the long run. Maana nimeshaona makampuni mengi sana huwa yanaanza kwa mbwembwe lakini baada ya miaka michache yanaanza kusua sua na mwisho kufa kabisa.
Mkuu umeongea jambo la maana sana hawa jamaa hawana busness codinetors ambao kazi yao kubwa huwa n kuangalia soko la usafir na mahitaji ya wa teja wao. Mfn mdogo green * mombasa raha hata mhamedi. Wametoka barabaran na wengine wapo kwa kusuasua kwa sabab hyo ,

Isitoshe mabasi huduma huwa nzr wakizoea wanaanza kuwa na lugha chafu sana, hvyo nmhim wabadilike vinginevo hakuna basi itakayodum bila kuwa na huyo nliemtaja hapo juu.
 
RATCO ni Tanga-Dar. Sidhani kama wana routes za Dar -AR.
Karibu IBRA line mrembo. Ni very comfortable. Au weye siku hizi Ni mwendobwa FJ??

Aaah........mi huwa napanda RATCO kwenda Tanga.......burdaaaaaaaan........
 
Hivi shabiby na Bm hawana route za dar Arusha?maana naona ndio watakua wakombozi wapya

Sijaziona..........Shabiby kwa Arusha naona ni hizi. Isamilo.......na zinakwenda Mwanza...........
 
ikitokea la kutokea tofaufi na ajali na akakutwa nacho ataonekana alikuwa na nia ovu.. kisu/silaha kwenye bus.. inawezuleta tafrani..
Nani kakuambia kuwa kisu cha mfukoni ni silaha?
 
Kwa hiyo kwenye bus kisu unaenda kumenyea chungwa ndugu yangu??.. watu watajuaje kama wewe sio psycho..unaweza kuwa'stab abiria wenzako au hata kujidhuru..miezi kadhaa iliyopita kuna jamaa alijichinja kwenye basi la Mtwara tena yeye alihitaji kiwembe tu kujirestisha in peace...
 
mabasi ya bilionea..sawaya!
 
kwanza chakula gari inasimama highway ubora wa chakula sio kama ule wa hill crest pale kwa urio...kitu kidia moja!
 
Tatizo ni lako nauli za kuomba alifu hizo we Dar Moshi kwa buku kumi unusu wapi na wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…