Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Basi la abiria linalomilikiwa na Kampuni ya Selous Express (Superfeo Express) limepta ajali mapema leo Oktoba 19, 2019 majira ya asubuhi.
Basi hilo lililokuwa safarini kutokea mjini Songea kuelekea jijini Dar es salaam limepata ajali hiyo maeneo ya Madaba.
Hakuna madhara kwa abiria waliokuwa wakisafiri na basi hilo huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakijafahamika mara moja..!