Aisee una mtandao mkali wa kupata updates za ajali zinazotokea! Vipi ajali ya jana ya mtu kugongwa na treni ya Mwakyembe pale yombo station ya TAZARA haijakufikia?
![]()
Ajali tena, jamani
Au kuna hujuma?Mwezi wa tatu lilipata ajali na mwezi huu tena.
Au kuna hujuma?
Pengine bosi anakomolewa
Kuna madereva huwa wana tabia ya kumkomoa tajiri na kusababisha ajali za makusudiDah sijaelewa mkuu
Kuna madereva huwa wana tabia ya kumkomoa tajiri na kusababisha ajali za makusudi
Kama ulivyosema mwezi uliopita walipata ajali na mwezi huu ajali nyingine tena, sina uhakika sana kwa ajali hii ila nimetolea mfano sababu madereva wanayo sana tabia hiyo kuna siku niliwahi kuwasikia wakiwa wenyewe kwa wenyewe(madereva) wanapanga mipango ya kuangusha magari ya tajiri yao sababu huwa anawapeleka safari za mbali lakini linapokuja suala la malipo anakuwa mgumu sana.Duh hao jamaa wana akili ndogo sana.Sasa hawahofii kufa maana kama hapo jamaa ni uso kwa uso na IVECO STRALIS ina maana hawaogopi ku-uface mziki wa semi-trailer.
Kama ulivyosema mwezi uliopita walipata ajali na mwezi huu ajali nyingine tena, sina uhakika sana kwa ajali hii ila nimetolea mfano sababu madereva wanayo sana tabia hiyo kuna siku niliwahi kuwasikia wakiwa wenyewe kwa wenyewe(madereva) wanapanga mipango ya kuangusha magari ya tajiri yao sababu huwa anawapeleka safari za mbali lakini linapokuja suala la malipo anakuwa mgumu sana.
Kwahiyo kaa ukijua kuna baadhi ya madereva ajali huwa wanazipanga wala si wa kuwachukulia mwamana sana
Mbona wamechukua muda sana kuliondoa.Nimepita hapo jioni bado lipo