Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Basi la kampuni ya Lwinzo limegongana na Lori eneo la mlima wa Kitonga. Tetesi zinasema kuwa hakuna kifo chochote ila kuna majeruhi wengi.
Nitazidi kuwajuza...
Itabidi tuanze kumchunguza huyu jamaa! Isijekuwa mtandao wake ndo vyanzo vya ajali hizi!
Ajali tena, jamani
Aisee una mtandao mkali wa kupata updates za ajali zinazotokea! Vipi ajali ya jana ya mtu kugongwa na treni ya Mwakyembe pale yombo station ya TAZARA haijakufikia?
Basi la kampuni ya Lwinzo limegongana na Lori eneo la mlima wa Kitonga. Tetesi zinasema kuwa hakuna kifo chochote ila kuna majeruhi wengi.
Nitazidi kuwajuza...
Itabaki kuitwa ya Mwakyembe maana ndiye founder tunamuenzi!Sasa hivi inaitwa tren ya Sita
Mi nasema hawa Madereva Warudi tuu shule jamani hakuna fani isiokuwa na shule,jamani dereva wa ndege pilot anaenda shule,dereva wa treni ameenda shule,dereva wa mitambo viwandani ameenda shule kwanini hawa wenye magari wanakataa shule?watatuua mpaka Lini?ajali nyingi zinazababishwa na uelewa na Sheria na umakini barabarani!mwendokasi,overtake,nk itafutwe tuu Namna Kuwa watasomaje na malipo watasaidiwaje,wengi tunawaona wamechoka tuu sana uderevaimekuwa ni fani ya walioshindwa maisha jamani,nawaheshimu sana Madereva bt ukweli lazima tuuseme,wapo wazuri sikatai but wachache mkuu hatukatai kusom. kama dereva alishasoma. wao wanadai hawatambui vyeti walivyotupatia baada ya kusoma. na kiukweli tunabeba lawama lakini wamiliki wa mabasi wanamakafara yao na yanahitaji damu. nchii hata usome vp alari hazitaisha
Ajali tena, jamani
Asante kwa picha maana #TeamPicha walishaanza kusumbua wakitaka nithibitishe habari.Naona hata vyombo vya habari na blogs hawajaiandika hii.Picha ya tukio hilo
la ajali