Basi la kampuni ya Lwinzo limegongana na Lori

Basi la kampuni ya Lwinzo limegongana na Lori

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,162
Reaction score
11,229
Basi la kampuni ya Lwinzo limegongana na Lori eneo la mlima wa Kitonga. Tetesi zinasema kuwa hakuna kifo chochote ila kuna majeruhi wengi.

Nitazidi kuwajuza...

attachment.php

Picha ya ajali.
 
Basi la kampuni ya Lwinzo limegongana na Lori eneo la mlima wa Kitonga. Tetesi zinasema kuwa hakuna kifo chochote ila kuna majeruhi wengi.

Nitazidi kuwajuza...

safi sana mkuu. Kuna thread nyingine umetoa ya ajali ya basi la ngorika na ratca imetulia sana. Big up
 
Aisee una mtandao mkali wa kupata updates za ajali zinazotokea! Vipi ajali ya jana ya mtu kugongwa na treni ya Mwakyembe pale yombo station ya TAZARA haijakufikia?
 
Itabidi tuanze kumchunguza huyu jamaa! Isijekuwa mtandao wake ndo vyanzo vya ajali hizi!
 
Mi nasema hawa Madereva Warudi tuu shule jamani hakuna fani isiokuwa na shule,jamani dereva wa ndege pilot anaenda shule,dereva wa treni ameenda shule,dereva wa mitambo viwandani ameenda shule kwanini hawa wenye magari wanakataa shule?watatuua mpaka Lini?ajali nyingi zinazababishwa na uelewa na Sheria na umakini barabarani!mwendokasi,overtake,nk itafutwe tuu Namna Kuwa watasomaje na malipo watasaidiwaje,wengi tunawaona wamechoka tuu sana uderevaimekuwa ni fani ya walioshindwa maisha jamani,nawaheshimu sana Madereva bt ukweli lazima tuuseme,wapo wazuri sikatai but wachache,inauma sana sana,hata sisi tunaendesha mitambo Imechoka but unaenda kwa tahadhari na unamkabidhi mwenzako salama kila siku,much care na analysis Ya changamoto!
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Picha ya tukio hilo
la ajali
 

Attachments

  • 1428596329153.jpg
    1428596329153.jpg
    77.3 KB · Views: 4,791
Basi la kampuni ya Lwinzo limegongana na Lori eneo la mlima wa Kitonga. Tetesi zinasema kuwa hakuna kifo chochote ila kuna majeruhi wengi.

Nitazidi kuwajuza...

Tujuze pia ya Hai iliyotokea leo pale mikumi
 
Mi nasema hawa Madereva Warudi tuu shule jamani hakuna fani isiokuwa na shule,jamani dereva wa ndege pilot anaenda shule,dereva wa treni ameenda shule,dereva wa mitambo viwandani ameenda shule kwanini hawa wenye magari wanakataa shule?watatuua mpaka Lini?ajali nyingi zinazababishwa na uelewa na Sheria na umakini barabarani!mwendokasi,overtake,nk itafutwe tuu Namna Kuwa watasomaje na malipo watasaidiwaje,wengi tunawaona wamechoka tuu sana uderevaimekuwa ni fani ya walioshindwa maisha jamani,nawaheshimu sana Madereva bt ukweli lazima tuuseme,wapo wazuri sikatai but wachache mkuu hatukatai kusom. kama dereva alishasoma. wao wanadai hawatambui vyeti walivyotupatia baada ya kusoma. na kiukweli tunabeba lawama lakini wamiliki wa mabasi wanamakafara yao na yanahitaji damu. nchii hata usome vp alari hazitaisha
 
Picha ya tukio hilo
la ajali
Asante kwa picha maana #TeamPicha walishaanza kusumbua wakitaka nithibitishe habari.Naona hata vyombo vya habari na blogs hawajaiandika hii.

***** huku Magaidi ya Alshabab huku ajali, Mungu Tunusuru.
 
Hii kampuni ya Luwinzo nayo sijui ina tatizo gani? wiki mbili zilizopita kuna basi ya luwinzo iligongana na basi dogo mikumi ikaua watu kadhaa. leo tena na lori.
 
Hizi ajali sasa zitafutiwe mwarobaini
 
Back
Top Bottom