Basi la kampuni ya BM lapata ajali Mombo Tanga

Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
336
86
Basi la BM limepata ajali muda huu maeneo ya Mombo Tanga. Lilikuwa likitokea Arusha to Dsm.
 
BM si huwa anafanya route ya Arusha to Moro, hiyo ya Dar ilianza lini mkuu.?
ILa all in all poleni sana kwa ajali hiyo.
 
Ilikuwa inatoka morogoro to arusha mvua kubwa ilikuwa inanyesha mombo dreva akapunguza mwendo ghafla akaongeza mwendo gari ikayumba ikaanguka hakuna kifo ila watu wameumia majeruhi walipelekwa korogwe hospital hali zao zinaendelea vyema
 
Back
Top Bottom