hii habari moja? ama mleta mada wa leo ameona habari ya kwanza haikupewa attention that kaamua kurudisha uzi upya, maana naona kuna tofauti kidogo tu! majeruhi ni sawa 27, kampuni ya bus ni ile ile, japo tofauti ni idadi ya watu walifariki na eneo la ajali! poleni wafiwa na majeruhi