chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,538
Habari nilizozipata punde,ni kwamba basi la kampuni ya HOOD lililokua linatokea Moro kuelekea Arusha limepinduka asubuhi hii eneo la kati ya Lugoba na Msata mkoani Pwani.
Jamaa nilieongea naye ambaye yupo eneo la tukio,anasema mpaka sasa hakuna mtu ambaye amethibitika kupoteza maisha ila baadhi wamejeruhiwa.
Uchaguzi unakuja 2015 hood anajipanga.
Uchaguzi unakuja 2015 hood anajipanga.
Hata Hood nasikia naye ni mwanasiasa, ila sijajua uhusiano wa hii ajali na kujipanga kisiasa.Usichanganye hood na Abood mkuu!!!
duuh!!! kwa sisi wenye ndugu waliopo arusha na dar na wajasirimali, roho juu mungu isije ikawa kweli !!!!!!Habari nilizozipata punde,ni kwamba basi la kampuni ya HOOD lililokua linatokea Moro kuelekea Arusha limepinduka asubuhi hii eneo la kati ya Lugoba na Msata mkoani Pwani.
Jamaa nilieongea naye ambaye yupo eneo la tukio,anasema mpaka sasa hakuna mtu ambaye amethibitika kupoteza maisha ila baadhi wamejeruhiwa.
Tena mwanaCCM, kazi kweli kweli!!!!!Hata Hood nasikia naye ni mwanasiasa, ila sijajua uhusiano wa hii ajali na kujipanga kisiasa.
Hata Hood nasikia naye ni mwanasiasa, ila sijajua uhusiano wa hii ajali na kujipanga kisiasa.