chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,537
Habari nilizozipata punde,ni kwamba basi la kampuni ya HOOD lililokua linatokea Moro kuelekea Arusha limepinduka asubuhi hii eneo la kati ya Lugoba na Msata mkoani Pwani.
Jamaa nilieongea naye ambaye yupo eneo la tukio,anasema mpaka sasa hakuna mtu ambaye amethibitika kupoteza maisha ila baadhi wamejeruhiwa.
Jamaa nilieongea naye ambaye yupo eneo la tukio,anasema mpaka sasa hakuna mtu ambaye amethibitika kupoteza maisha ila baadhi wamejeruhiwa.