kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Pole sana kwa wafiwa
ahsante sipo Tanzania but for sure msiba wa huyu mzee umenihudhunisha sana kwasababu ni ndugu yangu kabisa yaani kipindi hiki cha christmashuwa ni kigumu sana ajali zinakuwa nyingi sana!
ThanxPole sna ndugu najua machungu ya msiba yani acha tu nimeona picha za hii ajali jamni inasikitisha sana poleni!
Mungu awape ndugu katika kipindi hiki kigumu
Inasikitisha sana ni mwalimu wangu pale Lugalo -Iringa miaka ya tisini mwishoni. Vile vile ni family friend wa familia ya mke wangu na mwanae ndie aliyemsimamia my wife katika Send Off. This is very painful in deed. RIP mwalimu Msasi your was such a gud geograph teacher. You was a model to lot of people. Taifa limepoteza mwalimu safi na mzoefu.
Duh Huyu alikua mwalimu wangu pale Lugalo Secondary School hasa katika somo la Geographia na Commerce (1995-1998) R.I.P. mwalimu Msasimela. Bahati nzuri jana nimeingia Iringa nilikua nimekuja kwa ajili ya sikukuu ya X-mass. Ntaenda msibani kuwawakilisha wana Lugalo ambao mpo mbali