Basi la Dar Express laungua moto

Aisee asante kwa taarifa abiria na mzigo yao wamesalimika?
 
Abiria wamepona? Unaweza tueleza chanzo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Basi la Dar Express kutoka Arusha kwenda Dar linateketea kwa moto eneo la Segera
chanzo Tone Radio-Tz
hakuna abiria aliyepoteza maisha zaidi ya mizigo yote kuteketea kwa moto

photo kwa hisani ya pess
 
Kwa haraka ni kama vile lilikuwa limeegeshwa then mtu akalitia kiberiti...anyway naamini hakuna aliyedhurika!
 
Waliopo huko tujuzane...poleni wahanga
 
Hata Scandnavia nao walianza hivi hivi!!! Hii kampuni inakufa sasa! Ina magari machovu kupindukia. Siku moja nimepanda arusha-dar. Basi lilitoka karatu likiwa bovu kweli kweli!
 
Tunataka Wizara ya Mambo ya Ndani itupe updates za idadi ya vifo na majeruhi wa ajali za barabarani kila mwisho wa wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…