Moo Click JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,495 Reaction score 3,261 Apr 16, 2015 #61 Daaaaaah...Ni Ajali Teena!!!
N ng'adi lawi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 2,956 Reaction score 1,116 Apr 16, 2015 #62 Moo Click said: Daaaaaah...Ni Ajali Teena!!! Click to expand... Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu.
Moo Click said: Daaaaaah...Ni Ajali Teena!!! Click to expand... Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu.
Moo Click JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,495 Reaction score 3,261 Apr 16, 2015 #63 ng'adi lawi said: Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu. Click to expand... Ngoja niungane na wewe...Kuwapa Pole zao Majeruhi...GoodEnough Amna Aliyekufa.
ng'adi lawi said: Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu. Click to expand... Ngoja niungane na wewe...Kuwapa Pole zao Majeruhi...GoodEnough Amna Aliyekufa.
Mungo Park JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 2,115 Reaction score 1,834 Apr 16, 2015 #64 Huu ni wakati wa Serikali kuhakikisha Gari zote za Abiria na Mizigo zinafungwa 'Car Trackers' ili kudhibiti mwendo..
Huu ni wakati wa Serikali kuhakikisha Gari zote za Abiria na Mizigo zinafungwa 'Car Trackers' ili kudhibiti mwendo..
Ng'wale JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 4,687 Reaction score 3,407 Apr 16, 2015 #65 van de said: JF piga BURN mleta thread!!!!! haraka. Click to expand... Burn ya nini, yeye aliileta mwaka huo huo 2014 ilipotokea. Angalia mwaka ilipopostiwa.
van de said: JF piga BURN mleta thread!!!!! haraka. Click to expand... Burn ya nini, yeye aliileta mwaka huo huo 2014 ilipotokea. Angalia mwaka ilipopostiwa.
CRICKET JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 335 Reaction score 88 Apr 16, 2015 #66 We kenge hujui kusoma?
Inanambo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,063 Reaction score 2,875 Apr 16, 2015 #67 tweenty4seven said: Tatizo ni hizi mahakama zetu dereva ameua analipishwa faini tu ingetakiwa kifungo miaka 20 tuone kma wataendesha kizembe Click to expand... Jamani huu Uzi si wa mwaka jana. Mbona mnatutoa roho kwa habari zilizopita
tweenty4seven said: Tatizo ni hizi mahakama zetu dereva ameua analipishwa faini tu ingetakiwa kifungo miaka 20 tuone kma wataendesha kizembe Click to expand... Jamani huu Uzi si wa mwaka jana. Mbona mnatutoa roho kwa habari zilizopita
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,925 Apr 16, 2015 #68 ccm mwaka huu mtafanya kila uchawi.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,017 Reaction score 51,153 Apr 16, 2015 #69 ng'adi lawi said: Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu. Click to expand... 2014???
ng'adi lawi said: Pole zao majeruhi. Hiyo ni ajali ya kawaida kwani Dar Express ina madereva wenye nidhamu. Click to expand... 2014???
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Apr 16, 2015 #70 duh ajali zitatumaliza