Mhh. Hizi shule za kufundishwa na waalimu waliofeli masomo yao ni janga.
Poleni ndugu zetu, asipoteze uhai hata mmoja, majeraha yenu yatibiwe na kupona haraka, mliopata mshituko pateni ufahamu kuwarejea kwenye viwango vyake.
Hizo habari sio za kweli hakuna basi la dar express lililopata ajali siku ya leo..... Acheni kupost vitu km hivyo sio sifa au ndio nyie msiolitakia taifa hili mema
Tatizo si mahakama. Ni watunga sheria ambao ni bunge badala ya kuzitunga sheria au kuzirekebisha kutokana na wakati, kazi kuuza sura kwenye TV tuwaone wanavyopeana mipasho. Mahakama haiwezi toa adhabu ambayo haipo kwenye sheria. Tafakari
Sheria ni nzuri saana,swali tunao wataalamu wa kuitekeleza......Tunazo sheria nyingi saana nzuri lakini matokeo yake balaa.Mirungi ni marufuku lakini inauzwa kama njugu na watekelezaji wa sheria wanapatia ULAJI hapo.Kutoa escort ya fuso iliyobeba mirungi kutoka namanga to Ark ni 5m ona pesa hiyo.