kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,125
KakimbiaPoleni Sana Wote, Na Majeruhi Wapone Haraka Sana. Askari Aliyehusika Kusababisha Ajari Akamatwe Haraka Apekekwe Mahakamani
Easy come easy goTuna tatizo kubwa sana la hawa wanaoitwa Traffic, mimi wakinisimamisha seven ambayo siilewi sisimami, naenda kusimama sehemu salama. Hata Jana ilitokea hivyo hivyo pale maeneo ya Miembe Saba- Pwani
Jumapili iliyopita nilikua naenda kibaya, kawasimamisha Waarabu wakampa sijui ni kachori akaanza kula... Niliona aibu MimiHawa matrafiki laana zinawatafuna. Kwa siku mtu anaingiza 200 k lakini maisha yake ya kuungaunga tu.
Duuuuuhhh, kweli mambo ya aibu sana.Jumapili iliyopita nilikua naenda kibaya, kawasimamisha Waarabu wakampa sijui ni kachori akaanza kula... Niliona aibu Mimi
Trafiki Hasipi tumia akili dereva akiongezea.Poleni Sana Wote, Na Majeruhi Wapone Haraka Sana. Askari Aliyehusika Kusababisha Ajari Akamatwe Haraka Apekekwe Mahakamani
Umeandika nini?Upo chooni ukipanga magogo ya Tanesco kwenye lori?Hariri urudi tena!!Trafiki Hasipi tumia akili dereva akiongezea.
Hajali za namna hiyo singida ulisha wahi tokea.
Hisikibali kusimama ghafla
Basi hilo linalofanya safari zake katika ya Dar na Lindi leo asubuhi limepata ajali katika eneo la Mwandege Mkuranga likigongana na basi aina ya Tata linalofanya safari zake kuelekea mikoa ya kusini.
Baadhi ya abiria toka katika TATA wamejeruhiwa.
Mashuhuda wanasema chanzo ni Trafik alielisimamisha Basi hilo la Baraka kwa ghafla wakati likiwa kwenye mwendo na likajaribu kumkwepa dereva wa bodaboda aliekuwa anatokea Vikindu.
View attachment 1525535
Pole kwa majeruhi
Poleni Sana Wote, Na Majeruhi Wapone Haraka Sana. Askari Aliyehusika Kusababisha Ajari Akamatwe Haraka Apekekwe Mahakamani
Kakimbia
Halafu unaweza kusikia eti dereva ndio anapewa kesi ya mwendo kasi.
Poleni kwa hasara, majeruhi na upotezewaji wa muda.
Hawa matrafiki laana zinawatafuna. Kwa siku mtu anaingiza 200 k lakini maisha yake ya kuungaunga tu.
Tuna tatizo kubwa sana la hawa wanaoitwa Traffic, mimi wakinisimamisha seven ambayo siilewi sisimami, naenda kusimama sehemu salama. Hata Jana ilitokea hivyo hivyo pale maeneo ya Miembe Saba- Pwani
Easy come easy go
California love
Jumapili iliyopita nilikua naenda kibaya, kawasimamisha Waarabu wakampa sijui ni kachori akaanza kula... Niliona aibu Mimi
Duuuuuhhh, kweli mambo ya aibu sana.
Traffic Marshall unapewa kachori na mtu mweupe
Njaa za matrafiki ndo zinasababisha yote haya
Trafiki Hasipi tumia akili dereva akiongezea.
Hajali za namna hiyo singida ulisha wahi tokea.
Hisikibali kusimama ghafla
Umeandika nini?Upo chooni ukipanga magogo ya Tanesco kwenye lori?Hariri urudi tena!!
... utasimamishwaje ghafla na trafiki na wewe usimame? Yaani achomoke ghafla kutokea porini kunisimamisha nachomoka naye kwa usalama wa wengi na chombo chenyewe! Dereva naye boya; alitakiwa azingatie usalama kwanza mengine baadaye.Poleni Sana Wote, Na Majeruhi Wapone Haraka Sana. Askari Aliyehusika Kusababisha Ajari Akamatwe Haraka Apekekwe Mahakamani
Duuuuuhhh, kweli mambo ya aibu sana.
Traffic Marshall unapewa kachori na mtu mweupe
Kuna mjamaa alimpa kipande cha mhindi police man wa kitengo cha kuzuia na kupambana na magendo.dadeki
Huyu anahatarisha maisha yake kwa sababu ya uroho. What if wakiamua kumwekea sumu au madawa ya kulevya kwenye hizo Kachori?Jumapili iliyopita nilikua naenda kibaya, kawasimamisha Waarabu wakampa sijui ni kachori akaanza kula... Niliona aibu Mimi
Basi hilo linalofanya safari zake katika ya Dar na Lindi leo asubuhi limepata ajali katika eneo la Mwandege Mkuranga likigongana na basi aina ya Tata linalofanya safari zake kuelekea mikoa ya kusini.
Baadhi ya abiria toka katika TATA wamejeruhiwa.
Mashuhuda wanasema chanzo ni Trafik alielisimamisha Basi hilo la Baraka kwa ghafla wakati likiwa kwenye mwendo na likajaribu kumkwepa dereva wa bodaboda aliekuwa anatokea Vikindu.
View attachment 1525535