haya hongereni kwa website.... kusema ni watoto wenu hiyo ni habari nyingine..... kwani kuna uhusiano wowote wa ki-team na azam?? Yanga na Toto sawa, ama Nyinyi na Coastal au African lyon... ila kwa azam inabidi utumie muda kunielewesha
Sio la kutisha sana ni mpangilio wa rangitu. Hilo ni YUTONG sio kama club kubwa kama SImba au Yanga wanashindwa kununua ni priority tu ndio zinazogomba.
hawa jamaa wanausafiri wa kweli kuliko club zote kongwe ambazo zilikuepo hapa bongo..! yani hadi aibuuuu.. jamaa zetu kila siku mpaka utoke mchango wa SSSERENGETIIIII SERENGEEEETIIIIII EEEH EEEEH EEEH EEEEH EEEH...! wakati walikuepo kwenye gemu kitaambo...! inaniuma saana..!
Sio la kutisha sana ni mpangilio wa rangitu. Hilo ni YUTONG sio kama club kubwa kama SImba au Yanga wanashindwa kununua ni priority tu ndio zinazogomba.