Basi la Abood ni wahuni

Hongera, nasubiri mrejesho kwa mtoa uzi.
 
Hiyo ni daladala ya moro dar,panda yanayotokea iringa-dar,
 
Route ya Moro-Dar-Moro Kuna mabasi ya Kampuni ya abood, Bm, AL saedy, New force
Ukiacha abood, Hao wengine hawaaminiki, wala hawaoni tabu kukuweka stand masaa 2 na bado njiani wakuweke masaa 4
Ndio maana watu wapo radhi wakae kwenye ndoo kwenye abood kuliko kuliko kukalia siti za New force au alsaedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…