Freshi coach ,
basi jeupe na ufito wa brown uliopinda,
hili gari ni bovu sana yaani hii kampuni inahatarisha maisha ya watu kwa kuwasafirisha kwenye mabasi yasiyo na kiwango .
Nilisafiri na basi hilo kipindi cha x mas, kutoka moshi hadi tulitumia zaidi ya masaa kumi na tano njiani.