Basi la 5Alliance lawaka moto

Basi la 5Alliance lawaka moto

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Abiria waliokuwa wanassfiri na basi la 5 Alliance kutoka DSM kwenda Mtwara muda huu wamenusulika kuungua moto ktk basi hilo baada ya wasamalia wema kushirikiana kuuzima moto huo ulioanzia ktk taili la nyuma,
 
Mungu mkubwa hatuitaji viungo vingine vya binadamu kwa sasa
 
Pole hii unaipeleka kwa nani abiria au kwa wenye gari liloungua?
kama ni kwa abiria hakuna alieumia wala kufa.
Makamee.
Jamaa amesema pole "yao".
Unadhani neno "yao" ni akina nani kama sio moja kwa moja General8 anawalenga abiria?
Unadhani usumbufu watakao upata hapo hadi kupata usafiri mwingine na hasara ambazo wanaweza kuzipata hazihitaji "Pole"?
 
Last edited by a moderator:

Ndo maana tunapeleka watanzania kule Jkt ili wawe na mioyo ya ujasiri,kwa ajali isiyo na kifo wala majeruhi watu wanatakiwa kokomaa kikamanda tu pole ya nini?
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana tunapeleka watanzania kule Jkt ili wawe na mioyo ya ujasiri,kwa ajali isiyo na kifo wala majeruhi watu wanatakiwa kokomaa kikamanda tu pole ya nini?

Haaaa
Haaaaaaa
Haaaaaaaa
Ni kweli lakini Makamee
Nimekupa like,ajali za kipuuzi hizi hazina haja ya pole bhana.
 
Last edited by a moderator:
Abiria waliokuwa wanassfiri na basi la 5 Alliance kutoka DSM kwenda Mtwara muda huu wamenusulika kuungua moto ktk basi hilo baada ya wasamalia wema kushirikiana kuuzima moto huo ulioanzia ktk taili la nyuma,

Kimoyo-moyo tamka neno "Wasamaria" na "Tairi" mara 5, kisha usirudie tena huu ujinga wako.
 
inaonkana hujwahi kupata japo msuko msuko wa ajali ww, me nakuombea kwa mungu cku 1 ikukute halafu uone....

Unadhani Mungu anasikiliza maombi ya kipuuzi puuzi kama hili lako..!
Wewe bado unadhani Mungu ni Athuman....!?
 
Back
Top Bottom