wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,211
Pole Kwa wahangaBasi ilo linalofanya safari zake kati ya dsm kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya himo.
Chanzo cha ajali
Basi la Kilimanjaro lilikua linajaribu kupita Lori bila tahadhari na kukutana na Lori jingine uso kwa uso.
Ili kuepusha madhara dereva wa basi ilo aliamua kulipeleka kulia zaidi na kwenda kugonga frem za nyumba eneo ilo
Madhara
Mpaka sasa sina taharifa za uhakika ila wenye mamlaka watakuja kutoa wenyewe View attachment 2687710
Kununua mabasi ya abiria bora kulima vitunguuBasi ilo linalofanya safari zake kati ya dsm kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya himo.
Chanzo cha ajali
Basi la Kilimanjaro lilikua linajaribu kupita Lori bila tahadhari na kukutana na Lori jingine uso kwa uso.
Ili kuepusha madhara dereva wa basi ilo aliamua kulipeleka kulia zaidi na kwenda kugonga frem za nyumba eneo ilo
Madhara
Mpaka sasa sina taharifa za uhakika ila wenye mamlaka watakuja kutoa wenyewe View attachment 2687710
Ukitaka kukwepana na raha za duniani nunua basi la abiria.Kilimanjaro wanashida gani mwezi uliopita wamepata ajali na kuua mke na mume hapo barabara ya Mwanga - Same leo tena karibu na eneo lile lile.
Mabasi mabovu/yamechoka, madereva hawalipwi mishahara au ni hujuma tu?
🤣🤣🤣Ukitaka kukwepana na raha za duniani nunua basi la abiria.
Juzi kati kampuni ya MM8 basi lao lililokuwa limesalia baada ya lile lingine kuungua moto wiki iliyopita nalo lilipata ajali.Ukitaka kukwepana na raha za duniani nunua basi la abiria.
Ukikosea ukanunua mabasi kabla hujao au hujaolewa unaweza kushindwa hata kuzaa ukiwaza hasara , madeni, usumbufu na wizi ndani ya basi na nje ya basi.
kwa nini huongelei barabara ?Kilimanjaro wanashida gani mwezi uliopita wamepata ajali na kuua mke na mume hapo barabara ya Mwanga - Same leo tena karibu na eneo lile lile.
Mabasi mabovu/yamechoka, madereva hawalipwi mishahara au ni hujuma tu?
sas akienda arusha anapitia wapi jamanHivi kilimanjaro express ana ruti inayopitia himo?
Kwa muonekano wa picha hapo dereva wa bus haja overtake. Alikuwa upande wake. Inawezekana kuna gari ili overtake toka upande mwingine ndipo akaitoa zaidi kwani kulikuwa na roli lililosimama hapo kushoto kwake.Basi linalofanya safari zake kati ya Dar kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya Himo.
Chanzo cha ajali hiyo ni basi la Kilimanjaro lililokuwa linajaribu kupita Lori bila tahadhari na kukutana na Lori jingine uso kwa uso. Ili kuepusha madhara dereva wa basi hilo aliamua kulipeleka kulia zaidi na kwenda kugonga frem za nyumba eneo hilo.
Mpaka sasa sina taarifa za uhakika, ila wenye mamlaka watakuja kutoa wenyewe.
View attachment 2687710
Zipo zile zinazoenda rombo.Hivi kilimanjaro express ana ruti inayopitia himo?
Sasa kama anatoka dar/arusha apitie himo kufanya nini?!sas akienda arusha anapitia wapi jaman
au ulimaanisha himo huko ndani ndani