Basi kampuni ya Freys limepata ajali

Basi kampuni ya Freys limepata ajali

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,204
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya Mwanza kwenda Tanga limepata ajali maeneo ya Babati

Chanzo cha ajali ni kulipita lori bila tahadhari na kupelekea kugongana na lori jingine uso kwa uso

Hali ya abiria

Ni abiria watatu Ndio wapo kweny hali mbaya ila wengine wamepata majeraha madogo madogo
 
Basi la 200M kapewa mjinga mjinga
 
Back
Top Bottom