Basi gani linatoka Morogoro to Arusha

Basi gani linatoka Morogoro to Arusha

kilicho

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
1,117
Reaction score
870
Za saizi wakuu,mwenye kujua basi la abiria linalotoka morogoro kwenda arusha ,pia liwe high class.
 
Za saizi wakuu,mwenye kujua basi la abiria linalotoka morogoro kwenda arusha ,pia liwe high class.
Bongo hatuna mabasi high class, Moro Arusha kuna BM, LIM, ABOOD yote yako poa. LIM wanasimama sehemu ya kula nzuri kuliko BM.
 
LIM ni bus zuri sana..wana semi luxury ambayo ni uhakika..
Abood na BM luxury zao wanaingizaga hiyo route in case yale manganga yao yameroga..
Maana Abood na BM route zao main ni Dar - Moro ndo wanakopeleka gari zao Luxury..
So dandia LIM chap kwa 25k tu..
 
BM
Abood Ngara ngara lakini hili


Naungana nawe
  1. Ukitaka kufika salama raha mstarehe, kiyoyozi na kelele za muziki - BM
  2. Ukitaka kufika ukiwa hoi bin taaban, joto kali na upepo wa moto, kejeli na vijembe toka kwa wahudumu wa bus - Abood Bus
  3. Ukitaka kulala popote njiani au kuhamishiwa kwenye mabasi mengine (kufaulishwa) - Hood
  4. Yapo mengine nayaona - ila nenda Msanvu stand kajifunze juu ya huduma zao kwa kusikiliza kauli na mapokezi kwenye booking office zao ndipo utapata picha ya safari itakavyokuwa
 
Ngoja wenye pesa waje mkuu, mi napandaga ya makebich na miwa.
 
Back
Top Bottom