Not only that, nilionya watu kuhusu wizara ya mambo ya ndani. Ni koja ya wizara zinazoua career za watu. Kila anapita pale haji kuwa popular anymore or kuaminikaKabla ya kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima tuliongea; ilipotolewa barua ya kufungiwa nikakutafuta kwa njia nyingine nikakwambia “Serikali ijitenge na hili” - nayo ukanipuuza.
Ilipofika kufungiwa, nikakutafuta na kukushauri maamuzi ya haraka yafanywe na pande mbili ziongee - ukanieleza upande wako.
Mambo yalienda, ikafika wakati karibu na Oktoba 29 nikaona nikutafute tena, nikakukumbusha maana ya “Waziri mwenye Dhamana”. Nikakusisitiza hakikisha haimwagiki damu (sasa hapa utakuwa umeshajua mimi nani).
Maajabu ni kuwa hata ushauri wa mwisho nao ulipuuzwa.
Sasa, angalia kinachokuja mbele yako, naamini utakipenda tu. You will always regret this!
Kadiri upepo ulivyokuwa unavuma, ndo nyeti zake zilikuwa zinazidi kuwa wazi.Alisema atakayeandamana atakutana na kisiki🐼
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amewahakikishia Watanzania wote kuwa ulinzi na usalama umeimarishwa nchi nzima, hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kushiriki kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani bila hofu yoyote kesho, tarehe 29 Oktoba 2025.
Bashungwa ameyasema hayo leo, tarehe 28 Oktoba 2025, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaifa, ikiwa ni siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
“Kesho, Oktoba 29, hakutakuwa na shida yoyote. Vyombo vya usalama vilivyo chini ya...
- PAYE
- innocent bashungwa uchaguzi mkuu 2025
- Replies: 12
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kama hadi wakuu wa vyombo walishwa kuhandle situation huyo Bashungwa ni kumuonea kaka. Ila kama lengo lilikuwa ni kumchafua kwenye ndoto za urais wamefanikiwa na inawezekana aliteuliwa wizara ile kimkakati.Kadiri upepo ulivyokuwa unavuma, ndo nyeti zake zilikuwa zinazidi kuwa wazi.
Alijazwa upepo kuwa anaandaliwa for 2030, akajaa kwenye mfumo. Akatumika, akamaliza kuwa tambara.
Next step itamfurahisha na itakuwa funzo kwa wengine
Mikwala mbuziKabla ya kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima tuliongea; ilipotolewa barua ya kufungiwa nikakutafuta kwa njia nyingine nikakwambia “Serikali ijitenge na hili” - nayo ukanipuuza.
Ilipofika kufungiwa, nikakutafuta na kukushauri maamuzi ya haraka yafanywe na pande mbili ziongee - ukanieleza upande wako.
Mambo yalienda, ikafika wakati karibu na Oktoba 29 nikaona nikutafute tena, nikakukumbusha maana ya “Waziri mwenye Dhamana”. Nikakusisitiza hakikisha haimwagiki damu (sasa hapa utakuwa umeshajua mimi nani).
Maajabu ni kuwa hata ushauri wa mwisho nao ulipuuzwa.
Sasa, angalia kinachokuja mbele yako, naamini utakipenda tu. You will always regret this!
Kete zinasukumwa kwa akili kubwa sana…huyu master mind apewe heshima yake…yaani watu wanaingizwa kwenye mfumo na wanajaa mazima…Aisee hapa Mwaamuzi ni Mungu tuu..Hamna namnaNot only that, nilionya watu kuhusu wizara ya mambo ya ndani. Ni koja ya wizara zinazoua career za watu. Kila anapita pale haji kuwa popular anymore or kuaminika
Bashungwa is the latets victim
Andika vizuriMikwala mbuzi
Let us speculate, nini kimewatokea hawa, hasa Tulia?Dotto Biteko,Tulia Akson na Innocent Bashungwa ni mapumbavu ya kutupwa hayo hayajitambui kabisa. Hayo majinga ni hasara kwa taifa la Tanganyika kabisa.
Huko mbona mbali sana? Anza na ndugai…?? kete haikosewi hata kidogo…ndio kwanza wapo 2040 now..Let us speculate, nini kimewatokea hawa, hasa Tulia?