Bashiru asali imepungua analilia asali yake. Sisiemu ni lichama la walafi hakuna mwenye nia safi na watanzania. Wanatucheza shere kama watoto wadogo kwa danganya toto huku wao wakivuna vya kuvuna. Hawana na hawajawahi kuwa na dhati ya kuleta mageuzi nchini. Miaka kadari matatizo yaleyale awamu zote.