Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,278
- 289,189
Bashiru Ally anaona aibu !Duh sijui nichangie nini kwenye huu uzi
Hivi CCM Wana mitambo gani ya kuchakata akili za watu? Aaaaiiiseee.Bashiru Ally anaona aibu !
Ukifika mlangoni unanyang'anywa akili zoteHivi CCM Wana mitambo gani ya kuchakata akili za watu? Aaaaiiiseee.
kwani ilikuwa lazima akubali uteuzi ule ?Bashiru ni wa kuhurumiwa maana anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana kukubaliana na kuendana na aliyemteua.
Bashiru alisahau kwamba kutetea ccm siyo rahisiKachemsha
Bashiru Ally anaona aibu !
Bashiru ni wa kuhurumiwa maana anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana kukubaliana na kuendana na aliyemteua.
Bashiru Ali anajihusisha na nini huko Tanzania ?Bashiru Ally anaona aibu !
Mwandishi umeuliza swali fikirishi sana, hongera. Haya ni maswali ya Zuhura Yunusi.
Ni Katibu mkuu wa kikundi cha uporaji wa kuraBashiru Ali anajihusisha na nini huko Tanzania ?
ni kweli , inasemekana ukishateuliwa ukikataa au ukajiuzulu unatekwaAnatamani kujiuzulu ila anahofia usalama wake