Bashiru aachwe tujadili hoja za kitaifa

Bashiru aachwe tujadili hoja za kitaifa

MTWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2009
Posts
1,166
Reaction score
168
Imeshakuwa kawaida kumshambulia mtu anayekwenda kinyume na utaratibu wetu wa kila siku.

Mikopo isiyokuwa katika mipango waliopinga, mijitu yoote iliwageukia wakasahau umeme unakatika, pembejeo bei juu.

Leo huyu kasema kidogo tu, watu wote midomo juu na kumtaka ajiuzulu, badala ya kujadili hoja zake tunajikita kumshusha.

Inabidi tujitafakari sana.
Huyu Bashiru aachwe ana ujumbe bora wamwite ahojiwe maana yeye ni sehemu ya viongozi walioiweka madarakani serikali ya sasa.

Kumwangamiza haitakuwa sawa.
 
Imeshakuwa kawaida kumshambulia mtu anayekwenda kinyume na utaratibu wetu wa kila siku.
Mikopo isiyokuwa katika mipango waliopinga, mijitu yoote iliwageukia wakasahau umeme unakatika, pembejeo bei juu.
Leo huyu kasema kidogo tu, watu wote midomo juu na kumtaka ajiuzulu, badala ya kujadili hoja zake tunajikita kumshusha.
Inabidi tujitafakari sana.
Huyu Bashiru aachwe ana ujumbe bora wamwite ahojiwe maana yeye ni sehemu ya viongozi walioiweka madarakani serikali ya sasa. Kumwangamiza haitakuwa sawa.
Naunga mkono hoja.
P
 
Back
Top Bottom