General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
mgombea wa ubunge nzega mjini amesema jana katika uzinduzi wa ubunge katika jimbo lake kuwa yeye ndiye anafaa kuwa mbunge lakini urais anamuunga lowassa.
Bashe aliyasema hayo jana majira ya saa kumi na moja jion na kushangiliwa na umati wa watu.
Sina tatizo na magufuli ila kwa nafasi ya urais haimtoshi na itakuwa dhambi kubwa kumlinganisha magufuli na lowassa. Wote mimi nawajua na kiukweli sijaona atakaye ongoza nchi hii kama si lowassa.
Tulipo kosea sisi ni kwenye uteuzi wa rais, na hapa tutajilaumu sana, ila bado mimi ninaimani na lowassa, aliongeza bashe.
Si kweli acha uongo na unafiki!!!!!
Asubiri kufukuzwa hata kabla ya Uchaguzi
ahsante sana bashe!!!umetoa ya moyoni
Mbona hajamfuata Chadema?
Thubutu!!!wamkate basi.
Mpigie simu mkuu.Si kweli acha uongo na unafiki!!!!!