Bashe ni Zao la Mzumbe University

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Leo nimefarijika kufaham kwamba sikukosea kumpeleka mwanangu akasome uchumi MU-Mzumbe university baada ya kumsikia Bashe akimchambua Prof.Mpango wa UDSM. Kumbe haya majina ni mbwembwe tu.
Naheshimu pia uwezo binafsi wa Zitto kabwe ambao hakuupata UDSM mbali ni katika kujiongeza kwake tu.

=== Pia Kibatala ni Xmzumbe university anawasumbua jamaa

Nangu mandokwa
 
Nape ana masters ya Mzumbe na ni mjinga kupita kiasi.
 
Mzumbe branch la Dsm upanga ni escapee university unapata cheti hata kwa kutofanya mitihani na ndio wanaongoza kutoa part time zakuandikiwa dissertation
 
Huyu jamaa ndo anafaa aseme "Mimi siyo mwanasiasa na nachukia siasa". Siyo yule mwengine muongo muongo na kanjanja mwenye PHD ya hapa na pale.
 
Nape ana masters ya Mzumbe na ni mjinga kupita kiasi.

hahahhahha sure mkuu nafikir bashe sio u mzumbe tu na uwezo wake binafsi wa akili ya kutambua mambo upo vizur ukiacha elimu alionayo
 
Katumia weledi wake wa Udkt mpaka kupepewa na Mmiliki wa Yono hadhara Sio mchezo

'Mia 900 itapendeza'
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bashe kaongea ya Zitto naye akamatwe na ahojiwe!!!!!!!!πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…