Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,195
- 5,486
Acha upuuzi nenda pale Songwe barabara ya Tunduma kuna kijiji kinaitwa Mlowo , biashara ya mahindi inafanyika sana pale ,nenda ujifunze uone soko linaoperate vipi ,utawakuta wafanyabishara wa Tanzania , mpaka wa Sudan ,waCongo , wakenya nk wapo pale na semi trela zao wanapima na kununua mahindi.Shida yako moja mara nyingi huwa hujui unachotetea na ata hiyo njia ya shambani huijui.
Watu humu muda wote walikuwa wakikuelezea anaefaidika na hizo bei za reja leo sio mkulima mdogo, isipokuwa wakulima wakubwa wachache wenye maghala na middleman wanao nunua kwa wakulima wadogo baada ya kuvuna kwa bei ndogo.
Kwa ivyo Bashe kusema analinda wakulima ni porojo analinda walanguzi.
Huko kwenye kujustify kwako ongezeko la bei wala sito kuuliza kwa sababu nina uhakika ata uelewa wa hesabu rahisi za ‘cost behaviour’ ambazo zinazingatia gharama zote za kg unit la gunia (fixed overheads, Labour, fixed variables, tozo, transport) nina uhakika bei ya gunia aiwezi fika laki mbili baada ya kulitoa shambani, kulifikisha linapokwenda na gharama zote hizo ukiweka. Sitokwenda huko najua sio uwezo wako.
Huyo Bashe mwenyewe na lopolopo mwenzie Mwigulu kutwa kujisahau na kuji-contradict huo uwongo wenyewe awauwezi (ukiwa muongo usiwe msahaulifu). Sasa ukianza kuzungumzia porojo zao za mambo waliyofanya mwaka huu kumsaidia mkulima, kwa mavuno ya mwaka juzi ndio utapata picha ya kipimo cha ujinga wao.
Huna unalolijua kwenye biashara ya mazao wewe kiazi ,shut up
Wengi wenu hamjaingia field ,mbaropoka tu humu kama wendawazimu