Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Salaam Wakuu ,
Kumekuwa na vitendo vya utekaji na utesaji vilivyovuka mipaka ya maisha mazoea ya Watanzania.
Waathirika wa hivi karibuni wanahusisha pia waheshimiwa wabunge wa CCM. Miongoni mwa 'waliotekwa na kuteswa' no Mh. Bashe, mbunge wa Nzega.Kwa jinsi Bashe alivyosema, 'Mimi nimekamatwa na kuteswa na Usalama wa Taifa. Nimenyanyaswa sana nchi hii.Ikibidi mnifukuze CCM. ' hayawezi kufurahisha wakubwa has a Mkulu mwenyewe. Ikiwa wataamua kumfukuza kweli na pengine akaamua kukimbilia CHADEMA, atapona? Hofu yangu kubwa juu ya mustakabali wa Bashe kisiasa ni kuwa akishafukuzwa CCM, uraia wake utakuwa shakani.Hii ni tabia ya kawaida kwa CCM na serikali take kumbagua mtu anayewachoma na hasa asiye na asili ya Tanzania. Bashe jihadhari!