Bashe: Hali ya uchumi na mzunguko wa pesa ni mbaya, serikali isikie kilio na ijipange

Bashe unaongea peke yako, sisi tumeanza marathon na mateja.
 
Bashe nae ni mpiga dili?Ameona mzunguko wa pesa haupo?

Anyway uchumi sio kipaumbele chetu sasa hivi

James delicious

Mateja

Kuminya demokrasia ndo vipaumbele vyetu na ndio matatzo ya watanzania
 
Hakuna alieamini watafikia malengo yao si kwa makusanyo tu hata hizo external sources ni risk tupu
 
Anakosa Wateja kwenye magazeti yake ya rai, dimba na mtanzania..huyu nae kila siku kulalamika..achague kimoja..siasa au biashara..Mali za rostam aziz na lowasa zitamtokea puani..hili ni lile kundi la waliokuwa wanakula nchi..Magu kawabana..hapa anawakilisha kilio cha mabosi wake kina rostam aziz..watulie tu mbona wamepiga pesa nyingi sana.
 
Safi sana huyu Bashe. Penye kusifia anasifia, penye kasoro anakosoa. Natamani tungekuwa na watu wengi upande ule wenye balanced views kama yeye.
 
..bashe ni kijana makini pekee mwenye hoja makini aliyeko huko ccm....mbaya zaidi hasikilizwi...wanasikilizwa kina makonda....so sad....
 
Back
Top Bottom