Bashe: Bunge liondoe sheria zinazokwamisha kasi ya Magufuli

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,903
2,884
Mbunge wa Nzega mheshmiwa husen Bashe amekiri kua Magufuli ndiye rais tuliemhitaji kuiongoza nchi yetu kwani ni mtu anaesimamia anachokiamini bila kusita wala kumuonea haya mtu yeyote hivyo nashauri sheria zinazokwamisha kasi ya Magufuli ziondolewe.
 
Huyu nae ni wa hovyo kabisa! Nilijua ni mtu makini kumbe hakuna kitu afafhali ya Kigwangala. Nchi inaendeshwa kikatiba na sio kushtukiza tu.
 
Bashe team Lowasa
Ila ameonesha kuwa kwa sasa tupo naye pamoja
Anyway amesema point ya msingi
Ila suluhisho kamili ni mchakato wa katiba mpya uanzishe kwa kasi
 
Back
Top Bottom