Angekuwa anatumia pesa zake binafsi na ardhi yake wala hakuna ambaye angejihangaisha naye, tatizo anatumia kodi na ardhi ya raia.Watu wanachuki za kijinga na kipumbavu, wamuache Bashe afanye sehemu yake.
Lini nchi hii imekua nasera yakilimo inayoeleweka?.Angekuwa anatumia pesa zake binafsi na ardhi yake wala hakuna ambaye angejihangaisha naye, tatizo anatumia kodi na ardhi ya raia.
Nakupata nakupata Chawa Mstaafu....ova!Huyu jamaa anaenda kuua kilimo kama hatodhibitiwa, hana future hata chembe na wakulima, huko jimbon kwake tu mpaka sasa wakulima wake tunalia! Mbolea uchwara kila siku na hazifiki Kwa wakati ama kuchelewa kabisaa..
Mdee Kauliza Hoja za msingi Yeye anakwepa kwepa.
Bila Soni Kuna 'Makalikonji' hapa wanamtetea wakidhan hayawahusu hovyooo!
Ni aibu na Matusi yasio na kifani Kwa kila Mwenye Akili timamu kuendelea kuongozwa na Kiongoz huyo' wa 'kisomali'
Adhibitiwe kabla ajatia aibu zaidi huko mbeleni hafai! hafai! hafai! kuwepo hata Kwa dakika Moja Mbele.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Aisee taasisi za kimataifa na investors Huwa wanaamini sana PhD holders kwenye Proposals na Business Plan.Sasa huyu Msomali anataka investors waje kwa Proposal zilizoandikwa na akina Malembo na Carlo Ndosi, seriously!Eweehhh!! 'Kalikonji' mwambien Ajiudhuru Basi kama n hvyo...Sio mnaishia kula nae mirungi tu hilo Li BBT lake la hovyo mbona wawekezaj zaji wakubwa wanamkimbia ... hakuna hata professor Yeyote kutoka SUA alishirikishwa katika hio plan.
inamaana usipoona Haya utayaona yap Mwambien Kwa sauti kubwa hata kama anawanunulia MIRUNGI ya kuwa hafai! hafai! hafai! hafai! atoke!! atoke!! atoke!!...
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
hakikaAcheni chuki za kifala dhidi ya Bashe ni lini sera ya kilimo ya nchi hii ikawa hai mpaka ije kuuliwa na Bashe?