BASATA yaonya wanaotumia vibaya mitandao

Waje waitoe na kwenye cmu
Tanzania hii kwan ule wimbo wa mbele kwa mbele una ushahd
 
Kamavitu "alivyoviimba havina ushahidi" ina maana wimbo hauna maana wala mantiki; hakuna haja ya kuufungia; ni kuuacha watu wasikilize kisha waudharau wenyewe na msanii atakosa soko na mashabiki; inakula kwake!!
There is more to this than meets the eye! BASATA danganyeni watoto wa Chekechea; sio sisi magwiji!



 

Mkuu unanikumbusha mbali kweli, back in a days, 1995.
 


Hawana meno hao...
1. Shilole alifungiwa kupanda jukwaani, lakini amepanda
2. Davido naye yale yale..
 

ndo tushaufungia sasa,unataka nini?
 

Ushaidi upo. Roma anaongea MANENO ya ukweli, MANENO hayo Ñî mwiba kwa watawala.
Kwa binadamu yoyote ukweli unauma.

Roma yupo pamoja na watanzania wote wanaopenda mabadiliko.

Viva ukawa, viva Tanzania, viva mabadiliko.
 
Shilole Walimfungia mwaka Mzima CCM wakamfungulia. Hii nch ni ya HOVYO sana
 
Ss vp kuhusu shilole.huyu si alifungiwa ss inakuaje anapiga show za magufuli.mi naona ingekua poa km wangeanza na shilole.
 

The comedy ,yamoto,TOT mbona wamejaza uchochezi na kashfa MF. Wapinzani wataleta vita ni kweli
 
Hunijui,sikujui na sihitaji kukujua either, nafikiri umeongeza post kwa kuni quote ila sina hakika kama ulinielewa!

Kwani umeombwa dudu mbona mihemko kama vile umeiona sayari ing'aayo usiku?
 

Diamond wakati anatoka aliimbaga TATIZO KWETU MBAGALA, HAPA NYUMBA MBELE JALALA wakati ushahidi ni kua hakai mbagala anakaa Tandale, na mbele ya Nyumba yao hakuna Jalala.

Mbona hakufungiwa kwa kuimba uongo??
 
Reactions: MTK
Viva Roma Viva tutaupiga sana kwanzia Tarehe 26 /10.hahahahaaa viva Roma viva Ukawa
 
Diamond wakati anatoka aliimbaga TATIZO KWETU MBAGALA, HAPA NYUMBA MBELE JALALA wakati ushahidi ni kua hakai mbagala anakaa Tandale, na mbele ya Nyumba yao hakuna Jalala.

Mbona hakufungiwa kwa kuimba uongo??

Diamondo huyo huyo akaimba wimbo eti "Wazee wa zamani.............................kuchapiwa ni siri ya ndani"?!! wimbo usiokuwa na maadili by any standards; lakini hakufungiwa na baadhi ya "Vigogo wa NJI hii!!" wameonekana hadharani wakiserebukia wimbo huo kama hawana akili nzuri?!

Wapi na wapi, BASATA you have to come clean over this matter; acheni double standards na kutumika kisiasa na hawa wezi wa raslimali zetu!! Shame on you BASATA
 
Makalio yao......wamepewa kazi ya kusimamia sanaa tanzania sio siasa ya tanzania..........tatizo wizara imejaa wazee ile ndo maana mambo hayaendi.......!
 

Mkuu huo wimbo wenye maneno "kuchapiwa ni siri ya ndani" umeimbwa na Rich Mavoko na siyo Diamondo kama ulivyomtaja.
 
Knee jack reaction from BASATACCM; je hizo zilizohifadhiwa kwenye cloud watazifanyaje?! na kwenye smartphone je?! wanajitoa ufahamu hao; wanasahau kwamba The harder you try to ban and suppress something the more curiosity you generate with more people thirsting to know what you are trying to hide or prot

Wasichokijua BASATA hata kama wangefanya utafiti kupitia taasisi moja maarufu ijulikanayo kama TUNANUNULIKA; zamani ikijulikana kama TWAWEZA!! wangegundua kwamba hiyo ban yao imeupa wimbo huo wa Roma Mkatoliki na msanii mwenyewe more exposure and popularity; kwa sababu hata sisi vijana wa zamani ambao hatuna nasaba na "Bongo flava" tumefanya juu chini kujua kilichojificha juu ya ban hiyo kwa kuusikiliza na kuuchambua na kuuhifadhi kwenye cloud.

Wakumbuke kulifungia Mwanahalisi hakukurudisha imani ya wananchi kwa vyombo vya dola, wengi tuliona ni hatua ya kusigina demokrasia na uhuru wa kupata habari, vivyo hivyo wimbo huu wa Roma Mkatoliki, na sasa kijana mdogo na msanii underground kama Roma Mkatoliki anaonekana mbele ya umma kama SHUJAA aliyekuwa na ujasiri wa kukabiliana na Dola!!


 
Mkuu huo wimbo wenye maneno "kuchapiwa ni siri ya ndani" umeimbwa na Rich Mavoko na siyo Diamondo kama ulivyomtaja.

Asante kwa hilo; lakini halibadilishi mantiki, my point ni kwamba mbona haukufungiwa licha ya kwamba unakiuka maadili au alichokosea Roma ni kuwataja watu kwa majina? but that is defamation if you like; sio kazi ya Basata kufungia wimbo bali waliotajwa waende mahakamani wakashitaki kama wanajiona wametendewa ndivyo sivyo; mahakama ndio chombo cha kutoa haki.
Ana Tibaijuka aende mahakamani?! sio kufungia wimbo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…