wadau kwa wale walioitwa kazini vipi barua zinachukuliwa wapi kwa mkono maanatukisubiri wakituma kwenye posta ztachelewa kwa wale maafisa biashara wa tamisemi
Au mimi nataka kujua kama hizo barua zilishatumwa? coz unaweza kusubir ukidhani bado kumbe ilishatumwa siku nyingi ila imepotelea mikononi mwa Posta. Kwa waliopata tujulisheni mambo muhimu yaliyomo humo ndani ya barua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.