Naona mkuu umezungumzia mpaka INTELIJENSIA hapo, Geshi lile linauwezo mkubwa wa kuvuruga AMANI, kuleta MACHUKIZO na KERO kwenye utulivu, KUNYONG'ONYESHA wanaTZ, kuongoza MAGARI, kukusanya FAINI, kupitia BAR zote kuchukua chochote kitu, kuombea AJALI, kupiga RISASI hewani mbele ya raia asiye hata na manati, kutangaza HABARI(yaliyodhaniwa majambazi yamekutwa na silaha hizi, kumbe zao wametoa stoo), kujaza kwenye misafara, n.k Walikosa hata intelijensia ya wenzao kuuawa, kituo kuvamiwa.
Ngoja tuone